sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio

    Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki. ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
  2. Manfried

    Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka. Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana...
  3. M

    Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

    Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu... Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
  4. N'yadikwa

    Hapa Dodoma kuna watu washambashamba sana wanajifanya wapelelezi

    Wamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
  5. Leonce jr

    Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  6. B

    Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  7. P

    Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

    Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
  8. Kangosha

    KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  9. Meneja Wa Makampuni

    NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  10. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  11. realMamy

    Napenda sana Live Band

    Kuna maeneo Kilimanjaro kuna Live Band nzuri. Kwa wasiopenda kukaa na Stress nendeni kufurahia maisha. Wewe unapenda kwenda maeneo yapi kuenjoy?
  12. Minjingu Jingu

    Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  13. NostradamusEstrademe

    Huyu mchungaji juzi maneno yake yamenigusa sana

    Juzi nilifungua simu yangu ya smart nikakutana na clip ya mchungaji flani sikuweza kujua ni wa kanisa gani ila maneno yake ni ya kweli kwa utafiti wangu hebu tuone alisemaje Ukiona mtu amekukosea au anakukosea au anakufanyia mabaya mara kwa mara na hataki kukuomba radhi au kujirudi huna haja ya...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  15. bryan2

    Tumechelewa ila hatujachelewa sana kama Nchi

    Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi flani aliyekuja kwenye kikao Moshi ila mwisho wa siku komputa mpakato yake (laptop) ikaishiwa...
  16. DR Mambo Jambo

    Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  17. T

    Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  18. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  19. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  20. Manfried

    Watanzania wana akili ndogo sana kifo cha Gadner Habashi kilisababishwa na uzembe wa Watanzania .

    Juzi kuna msanii amechoma Gari . Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia . Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu . Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
Back
Top Bottom