sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukijijua kuwa ni 'smart', jificha sana.

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums! Kama mjuavyo, nchi yetu ina maadui wakuu watatu, ambao ni ujinga, umasikini, na maradhi. Katika muktadha wangu, umasikini pamoja na maradhi vyote naviacha nyuma nikimfuatia huyu adui 'ujinga'. Watanzania bado ni washamba wa watu werevu, watu smart...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Leo nimegundua asilimia kubwa ya mashabiki wa Man United wanashida sana

    Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5 Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011 Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
  4. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau awasili Washington DC, kukutana na Trump kwenye mkutano muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump Mungu ibariki Israel Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
  5. JamiiForums Tanzania Tabora ina shangaza sana sijui ni ushamba au nini

    Simba wapo ugenini kikanuni ila kiuhalisia ni kama walikuwa home tu. Uwanja umejaa watu wa simba utadhani ni dsm Jifunzeni uzalendo nyie wakulima. Mnaipenda simba badala.ya team yenu.ya home. Halafu mnatoa siri.za ushindi au kukwepa kipigo kwa manyau wenu kuwa wasipite hapa na pale. Huo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa Mbwa wakizungu wana akili sana kumzidi hata binadamu

    Just watch this video
  7. JamiiForums Tanzania Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

    Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
  8. JamiiForums Tanzania Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio

    Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki. ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka. Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

    Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu... Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
  11. JamiiForums Tanzania Hapa Dodoma kuna watu washambashamba sana wanajifanya wapelelezi

    Wamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
  12. JamiiForums Tanzania Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

    Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
  15. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  16. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  17. JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Napenda sana Live Band

    Kuna maeneo Kilimanjaro kuna Live Band nzuri. Kwa wasiopenda kukaa na Stress nendeni kufurahia maisha. Wewe unapenda kwenda maeneo yapi kuenjoy?
  19. JamiiForums Tanzania Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji juzi maneno yake yamenigusa sana

    Juzi nilifungua simu yangu ya smart nikakutana na clip ya mchungaji flani sikuweza kujua ni wa kanisa gani ila maneno yake ni ya kweli kwa utafiti wangu hebu tuone alisemaje Ukiona mtu amekukosea au anakukosea au anakufanyia mabaya mara kwa mara na hataki kukuomba radhi au kujirudi huna haja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…