sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    Tutakosea sana kama hatutampongeza Godbless Lema kwa msimamo na kazi nzuri aliyofanya uchaguzi CHADEMA

    Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana . Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    1. Rais Samia 2.Dr. Nchimbi 3. Paul Makonda 4. Mrisho Gambo 5. Lucas Mwashambwa 6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D 7. Crimea 8. Gwajima 9.Job Ndugai
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu ambariki Sana Mbowe. Kuanzia Leo utaitwa Master Mbowe

    Imekuwa! Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka ishirini kuendelea. Legend huyo akapambanishwa na mdogo wake au mtu wa cheo cha chini au ambaye...
  4. I

    Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

    Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani. Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
  5. M

    Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
  6. L

    Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo. Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na...
  7. Minjingu Jingu

    Huu ni Ushahidi kuwa Viongozi wetu walipambana Sana. Inaumiza kwa kweli

    Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
  8. Braza Kede

    Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  9. Yoda

    Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  10. C

    Kuna watu wanaamini Waisrael sio watu wa kawaida. Wanawakuza sana

    Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti huo ni mtego'. Wakajiapiza kurejesha mateka wote na kuwamaliza Hamas. Lkn baada ya vita ya zaidi ya...
  11. kyagata

    Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  12. Carlos The Jackal

    Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

    Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo? Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko. Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
  13. Mad Max

    "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  14. Kidagaa kimemwozea

    Huyu kijana Amedhalilika sana

    Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
  15. Mad Max

    Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  16. Manfried

    Mnajua kwanini wahaya na wachaga wamefanikiwa sana ?

    Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao. Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu . Pia wachaga the same. Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
  17. comrade_kipepe

    Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  18. M

    Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  19. SAYVILLE

    Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
Back
Top Bottom