sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. mahindi hayaoti mjini

    Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

    Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Kujengea kwenye simu: Inatia uchungu sana

    https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
  3. TODAYS

    HATARI SANA: Mashirika Yatangaza Kufirisika! - Soma.

    Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  5. Q

    Nimeumia sana au Sina bahati

    Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
  6. Manfried

    Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  7. Manfried

    Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  8. kyagata

    Kuna ofisi ukizitembelea unakuta 'staff' wake wanatia huruma sana kwa kweli

    Leo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa. Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji. Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  10. BabaMorgan

    Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

    Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama. More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
  11. S

    Nina Aquos r6 mnyoofu sana

    AQUOUS r6 Storage 128gb Bei 335,000 Clean Haina kipengele labda kipengele uje nayo tajiri😀 Ubungo darajani 0️⃣6️⃣9️⃣3️⃣1️⃣7️⃣6️⃣1️⃣9️⃣7️⃣
  12. Manfried

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
  13. F

    Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi katika mahusiano ya kimapenzi

    Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
  14. kichongeochuma

    Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  15. Manyanza

    Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

    Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana -Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake -Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
  16. KENZY

    JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

    Mnavutia,mnajua kuvaa, shape mnazo na hakuna mwenye komwe!. Mmebarikiwa mno!, mna mioyo mizuri kiufupi mmetaradadi!. Nawapenda sana wadada wa jamiiforum mbarikiwe maradufu. Enjoy
  17. Beira Boy

    Abdul na mabilion yake anamwogopa sana Tundu Lissu

    Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa lazima uogope sana. Watu wanauza mpaka bandari za nchi ili wapate pesa, lakini kwa Tundu Lissu...
  18. Lugano Edom

    KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  19. Manyanza

    Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  20. Malaika wa Misukosuko

    CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Back
Top Bottom