Hakuna wakati ambapo uchaguzi wa Tanzania ungekuwa mwepesi sana kwa wapinzani kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ni wachache mno wanaoridhishwa na serikali hii ya awamu ya sita, kati ya hao ni wateuliwa, baadhi ya wanachama wa CCM wenye maslahi (asilimia kubwa ndani ya chama hawamkubali...