sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi kama kuna shule za day huna haja ya kumpeleka mtoto boarding, Boarding imekuwa hatari sana kwa watoto kwa hali ya sasa

    Sioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa: -zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa -zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50 -zina walimu wa kutosha -usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto Tuache kudanganyana kama zamani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno.
  3. JamiiForums Tanzania Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

    Heko Hayati JPM kwa uamzi huu ambao hukusikiliza kelele za wachumia tumbo na wanasiasa wajaza tumbo, kwao nchi badaye ila tumbo ndio kipaombele chao. Miongoni mwao mwa wanaohitajika kufika kwa pilato ni, Waziri Nape na Waziri January Makamba, hawa ndio walikuwa msitari wa mbele kama wanasiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi wanaume weupe tunachukiwa sana. Haya maneno ya huyu jamaa si ya busara

    Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Mama wa kambo awatesa watoto wa kufikia (Inasikitisha sana)

    Hili ni tukio la kweli. UNYANYASAJI KWA WATOTO NI KOSA KISHERIA, TOA TAARIFA UNAPOONA MATUKIO YA NAMNA HII KWENYE JAMII.
  6. JamiiForums Tanzania Kama ulidhani Waziri mwenye majibu ya Nyodo na Dharau ni Nchemba pekee umekosea sana, msikie huyu Waziri Oryem wa Uganda

    "Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma"...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

    Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua. Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Kuomba sana, kuwa mwema sana sio sababu ya Mungu kukubariki

    Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

    Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu 1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM. Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Taasisi za mikopo zinakera sana ,Zijirekebishe zinakera Kwa kweli

    Mnanikera sana Kila baada ya siku mbili mnatuma tu Text zenu ,mtu kama anahitaji huduma atawafata ofisin kwenu, Na siyo Kila mtu ana malengo ya kukopa kopa hovyo.
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wanafiki sana

    Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Dada zangu, huwa mnapata wapi ujasiri wa kutuambia wapenzi wenu hatuna jipya?

    Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani. Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  16. JamiiForums Tanzania Mmechelewa sana 'Hima and Tutsi Empire' ni lazima Tanzania

    Hata hiki Kilichozungumzwa na Kamanda Wenu hivi majuzi ni mkakati Wetu wa Kimakusudi ili Kijulikane kisha mjitekenye na Watanzania wote nanyi muwe ni Wahima na Watutsi kwa Oparesheni Maalum kwa kusaidiwa na Wahima na Watutsi wengi walioko katika Taasisi zenu Kubwa, Muhimu, za Kimaamuzi na...
  17. JamiiForums Tanzania Morocco walitugonga 3- 0 kwa Mbinde sana. Leo Congo Watatugonga tena kwa Mbinde

    Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena pipe... Kitu... Waarabu hawa hapa. Cha pili Tunafuta heeeeh. Cha tatu. Waliweza ila si kirahisi rahisi...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia. ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara. Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii. Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…