The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
"Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya.
Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X".
Hili jina limekuwa na ukakasi mwingi sana hasa katika kulitumia kutambulisha mtandao unaotumia hata kufungua app yake katika kundi la...
Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto.
Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao.
Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji kiongozi wa timu mechi hii haikuwa ya kukosa kwasababu hafifu hafifu tu na dhaifu.
Vitu pekee ambavyo...
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali.
Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu.
Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK...
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.
Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na...
Habari zenu wana JF.
Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.
Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
Salaam waungwana wote,
Kwa kweli katika kitu najuta maishani ni kumpenda huyu mtu, nimekua nae kwa miaka 7 sasa, niseme tu nilimkuta hana kitu kabisa sikujali kitu nilijali mapenzi, tukaanza mapenzi na yalikua moto moto, alikua anafanya kazi sehemu kwa mshahara mdogo sana, wakati huo mie nipo...
HARAMBEE IMEFANIKIWA SANA: KISIWA CHA RUKUBA CHAANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE
Kisiwa cha Rukuba ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Etaro. Wanafunzi wa sekondari kutoka Kisiwani humo wanasoma nchi kavu kwenye sekondari ya Kata yao (Etaro Sekondari).
Wanafunzi hao wanakumbuna na matatizo...
Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana.
Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.
Habari wadau
Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa
Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa.
Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa...
Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa.
Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa.
Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita.
Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna...
Ni kijana alieibuka na kung'ara mno katika medani za siasa za Tanzania. alichomoza katika awamu ya4 chini ya Rais wa wakati huo JK.
Kwa hakika binafsi niliwahi kuchunguza na mpaka wa leo, sijabaini, sijaona wala sijafahamu, ni nini hasa kiliwavutia sana wananchi ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe...
Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana.
Kwa mantiki hiyo kila siku...
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa."
2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga."
3. "Wanatufanyia usanii tu."
3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.