sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Ukishaona mtu anatanguliza sana maneno ya IQ, mara "ooh kuna watu wana IQ ndogo humu" ujue huyo kinachomsumbua ni kitu tunaita Condescending judgment

    How much is enough ili kuweza kuridhisha matakwa na mategemeo ya mwanadamu, utashi tulionao pekee hautoshi ku-prove kuwa sisi ni bora ingawa hatuendani??, sasa kwa sababu upo egoistic, selfish na umevurugwa utaanza kuwapanga watu katika makundi ya akili ndogo ili wewe uonekane upo vizuri...
  2. GENTAMYCINE

    Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  3. Teslarati

    Ulishawahi kuila akiwa siku zake?

    Kuna uzi nimesoma leo nikakumbuka kisa kimoja. Kwenye huo uzi mtoa mada anasema kwamba kutokana na biblia kufanya mapenzi na mwanamke alie kwenye siku zake ni dhambi Hio ikanikumbusha zamani, niliwahi kudate na mdada mmoja tokea Tabora ila alikulia dar, maeneo ya uswahilini mbagala huko. Huyu...
  4. Mhaya

    Tujikumbushe: Miaka ya 1990 hadi 2000 video za watu kuchinjwa zilienea sana mitandaoni

    Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
  5. N'yadikwa

    Wake za watu baadhi mchana wanagawa sana

    Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana. Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna...
  6. The Mongolian Savage

    China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

    Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15. Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
  7. Davidmmarista

    Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
  8. U

    Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

    Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi...
  9. chizcom

    Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

    Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa. Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege. Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa...
  10. realMamy

    “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  11. Komeo Lachuma

    Rais siyo mama yenu acheni kujikomba. Mumheshimu mnapo muongelea kwa cheo chake. Mnajikomba sana

    Mama hivi , mama vile... unamwangalia huyu unamwona njaa inamsumbua na ameshamkana mama yake kwa sababu ya vipande 30 . Rais si mama wala baba yenu. mama yako akikusikia unaiya ita wa mama wa watu mama atakuona boya sana na unajikomba to the maximum. Mnapomuongelea rais kwa cheo chake muiteni...
  12. Pdidy

    Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  13. Mshana Jr

    Tumeanza kukataana mapema sana! Je msamaha wa madhambi yasiyojulikana umechangia?

    Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike. Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo...
  14. Lord denning

    Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  15. R

    Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  16. Chizi Maarifa

    Hii haina madhara kwenye sehemu za huyu Dada? Nimeshangaa sana

    Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa alfajiri. Baadaye nikaona nikapoze mwili. Likaja lishangazi limefunga kitambaa laini kiunoni. Lina mipaja...
  17. Maleven

    Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
  18. The Burning Spear

    Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  19. ARGAN MARA

    Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  20. Igombe fisherman

    Vitu vingine vinafikirisha sana

    Ulishawahi kukutana na dawa ya ugonjwa lakini ukashindwa hata kuamini imewezekana vipi? Miezi kadhaa hapa nyuma niliamka tu mguu unaumwa kama vile umetenguka. Wakati huo sijakutana na hali yoyote yenye uwezo wa kusababisha majeraha. Muda ulivyokuwa ukizidi kwenda hali ikazidi kuwa mbaya kiasi...
Back
Top Bottom