Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna...