sankara

  1. RIGHT MARKER

    Leo nimewakumbuka Jakaya Mrisho Kikwete, Thomas Sankara, na msanii Harmonize katika mambo haya!

    💼MHADHARA WA KUMI (10) Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi, mashirika, makampuni na maeneo mengine ya kazi huwapokea mabosi wapya...
Back
Top Bottom