sarafu

  1. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  2. Kidagaa kimemwozea

    Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

    Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025 1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra 2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone 3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc 4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling 5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian Franc 6)-Democratic...
  3. Lycaon pictus

    Naona 500 ndiyo sarafu pekee imebaki mtaani

    Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
  4. I

    Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
  5. Lethergo

    Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

    Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana. Pesa ya Karatasi au Noti...
  6. Wazolee

    BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  7. Braza Kede

    Je umewahi kutumia sarafu hizi za kitanzania?

    Je umewahi kutumia pesa hizi za kitanzania? Au ndio kwanza unaziona hapa kwa mara ya kwanza?😆
  8. M

    Sarafu ya Tanzania yaimarika

    Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH
  9. Hance Mtanashati

    Sarafu zenye thamani ya Shilingi 20, 10, na 5 ikiwezekana hata chini ya hapo zirudishwe

    Jaribu kufikiria, je kama sarafu za Tsh 500,200,100,50 nazo zingeondolewa inamaanisha leo hii kitu ambacho unanunua kwa Tsh 50 utakinunua kwa Tsh elfu1. Kitu ambacho unakinunua kwa Tsh elfu 1 utaenda kukinunua kwa elfu 10. Sasa ni heri hizi pesa ndogo ndogo zirudishwe kwenye mzunguko italeta...
  10. ndege JOHN

    Mimi hupendelea kuhifadhi sarafu, roho yangu inaridhika kuziona na pia huwa zinavutana

    nilianza kuzipenda sarafu kipindi nauza duka nilikuwa naziweka kwenye bag zinakaa muda mrefu kwa kuwa maduka ya jumla hawapendi kupoteza muda kuhesabu chenji chenji. Siku hizi siuzi tena duka niko na mishe nyingine na Nimekuwa na changamoto ya matumizi mabaya ya pesa yaan unapewa leo million...
  11. snipa

    TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
  12. Waufukweni

    Ureno kuzindua Sarafu ya Euro 7 Kumuenzi Cristiano Ronaldo

    Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno. Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
  13. chama konokono

    Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo

    Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo. Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo...
  14. Nrangoo

    Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  15. I

    Sarafu ya China, Yuan haitachukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.

    Hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa Saudi Arabia iko kwenye mazungumzo ya bei ya mauzo ya mafuta yake kwa sarafu ya China, Yuan. Ingawa baadhi ya nchi zinaunga mkono sarafu ya China Yuan kuwa sarafu ya akiba ya dunia, hali halisi ya kiuchumi inadhoofisha juhudi hii kabla hata haijaanza. The...
  16. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Zanzibar haina sarafu yake yenyewe?

    Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk. Ni kwanini haina sarafu yake?
  17. Herbalist Mtaturu

    Ndagu ya sarafu na sufuria

    Tatizo hamfanyii kazi Andaa sufulia napesa za sarafu kama picha hiyo tumia sufulia kubwa au ndoo kubwa kunavitu vitatu vyakuchanganyia humo Kwanza weka dawa nyeusi yazindiko iliochanganywa na vizimba vikali fatisha dam jikate kidogo au kama wakike iweyabridi Weka humo chukua mafuta ya msukule...
  18. I

    Utegemezi wa Russia kwa sarafu ya Yuan kuokoa uchumi wake waanza kutokomea

    Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni. Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili...
  19. Mr Why

    Ushauri wangu kwa BoT kuhusiana na upotevu wa Sarafu za Sh 500, 200, 100 na 50

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
  20. stakehigh

    Dinari Kuwaiti: Ndio Sarafu Imara Duniani na Njia Tanzania Inaweza kufuata ili Kuifikia

    Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze sababu za nguvu ya dinari na kuchunguza njia zinazowezekana za ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Nguvu...
Back
Top Bottom