sarafu

  1. Wakusoma 12

    Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

    Wakuu Hali mbaya kwa Putin, Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu. "We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar". In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed...
  2. Tony254

    List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

    Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
  3. Rhz4567

    Mapendekezo: Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ifute matumizi ya fedha za sarafu na itengeneze noti mpya ya shilingi elfu 20 na elfu 50

    Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa, Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
  4. Kichwa Kichafu

    Mchambuzi maarufu wa Bitcoin ameenda kuwekeza kwenye sarafu ya $SHIB japo sarafu ya $DOGE ndio imeanza kupanda thamani

    Habari, Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa ya kutumika kwenye manunuzi ya baadhi ya bidhaa vya kampuni la magari ya umeme, Tesla. Mchambuzi...
  5. Zingzingzing

    Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

    Habari wana JF, kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA, 0623 306 403
  6. M

    SoC01 Tanzanite kama Sarafu Mtandao Afrika

    WATU maeneo mbalimbali duniani wamekuwa wanasumbuka kupata 'kiwakilishi' sahihi na bora kwenye kubadilishana bidhaa toka dunia kuumbwa. Baada ya uwepo wa DOLA ya Kimarekani na EURO ya Ulaya watu wakadhani mapambano hayo yamefikia tamati. La hasha, bado yanaendelea ! Baada ya majaribio ya kadi...
  7. M

    Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

    Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70? Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
  8. chief lobengula

    SoC01 Je, Sarafu za Kimtandao (cryptocurrencies) ni fursa nyingine kwa Vijana wa Kitanzania?

    Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo. Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT), kujiandaa kwa ajili ya kulipokea swala la sarafu za kimtandao na teknolojia inayoziwezesha yaani...
  9. Spector

    Sarafu za zamani

    Habari wadau,, Kwa yoyote mwenye ufahamu na hizi sarafu naomba msaada wa utambuzi ipi dili
  10. Binti Abdullah

    Sarafu za malipo ya ngono enzi za Utawala wa Warumi

    Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus. Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
  11. 2019

    Ujue utapeli uliojificha wa kutafuta sarafu za kizamani kwa dau nono | kaa chonjo

    Bila kupoteza muda kwenye mada. Najua wengi mshasikia sana mambo ya kutafuta sarafu flani ya zamani na kuahidiwa kupewa donge nono la pesa. Kwanini pesa hiyo inunuliwe kwa pesa nyingi hivyo? Utaambiwa ni dawa, madini au ina kazi maalumu. Kwa sasa kuna page hapo Insta inajitangaza kutafuta...
  12. B

    Vijana wafukua sarafu za dhahabu za miaka 1,100 Israel za enzi ya Abbasid

    Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845 Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa miaka 1,100. Pesa nyingi zilizopatikana ni za wakati wa kipindi cha awali cha...
  13. Infantry Soldier

    Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake

    Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake. Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  14. 2019

    Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli inaharibu Sarafu za 200, BoT ingilieni kati

    Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina. Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri. Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli, unaweka 200 unacheza. Hata serikali inachukua kodi kupitia...
  15. FrankLutazamba

    Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

    Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo. Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama...
  16. M

    Inakuwaje sarafu za milioni 200 zinafichwa mamlaka zisishtuke mapema?

    Salama JF? Kutokana na jinsi Mambo yanavyoenda nchini siku hizi siangalii wala kusikiliza taarifa za habari za ndani. Nimewapa jukumu watoto wangu kuangalia taarifa ya habari ili baadaye waniambie wamepata habari gani. Mimi nimebaki kuingia JF, Instagram,Twitter na kwingine ambako napata...
  17. Return Of Undertaker

    BoT: Pesa ya Tanzania haiwezi kusambaza Virusi vya Corona. Zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti

    Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
  18. Sky Eclat

    Mwisho wa mwaka ichapishe sarafu za dhahabu zenye kumbu kumbu za matukio muhimu ziuzwe kwa wananchi

    Benki Kuu ichapishe sarafu zenye kumbu kumbu ya nchi. Sarafu za dhahabu ziuzwe kwa bei ya sokoni. Matukio kama kuapishwa kwa rais, mlima Kilimanjaro, wanyama wetu nk. Zichapishwe kwa idadi maalum na ziuzwe si chini ya Tsh. 100,000. Kuna collectors wengi wanapenda kuhifadhi vitu na wengine...
Back
Top Bottom