sarafu

  1. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  2. L

    Nimeona watu wanajinasibu kununua vitu vya kala hasa sarafu

    Je Kuna ikweli Gani kuhusu hizi biashara ,au ni utapeli tuu tujuzane
  3. L

    Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
  4. Zulu Man Tz

    Je, Unafikiriaje kuanzishwa kwa Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS italeta manufaa?

    Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS. Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya...
  5. Lycaon pictus

    Kwanini Tanzania hatuchapishi sarafu za dhahabu?

    Nchi nyingi, hasa zile zinazozalisha dhahabu huwa zinachapisha sarafu za dhahabu na kuuza. Sarafu hizi zina mambo mengi. Kwanza watu hununua kama kito kutokana na uzuri wake. Pili watu hununua kama ni pesa na wanaweza kuitumia kama pesa. Tatu nchi hufanya export ya kitu kilichoongezwa thamani...
  6. K

    Hii ni sarafu ya nchi gani na ina thamani gani?

    Eti wakuu,hii ni sarafu ya nchi gani na iko na value gani?
  7. kyagata

    Serikali naomba mtofautishe muonekano wa sarafu za shilingi 500 na shilingi 10.

    Hizi sarafu mbili zinafanana mno, kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa mtu kuzitofautisha haraka haraka hasa katika mazingira yenye giza. Mfano jana usiku nisingekuwa makini ilikuwa nishikishwe sarafu 6 za shillingi 10 nikidhani ni elfu 3. Serikali fanyeni kitu kuzitofautisha hizi sarafu kimuonekano.
  8. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
  9. M

    Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  10. Swahili AI

    Historia ya pesa ya sarafu Tanzania

    Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu moja. Katika kipindi kifupi kuanzia mishoni mwaka 1919 hadi kati kati ya mwaka 1920, bara walitumia...
  11. Amaizing Mimi

    Hii sarafu ya mjerumani ina thamani gani?

    Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
  12. EL ELYON

    Sarafu yenye tundu katikati ya mwaka 1918

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT ) SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA NILIWAHI SIKIA WATU WANASAKA PESA ZA NAMNA HII. 0629 945 110.
  13. EL ELYON

    Nimeokota sarafu yenye tundu katikati ya 1918

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT ) SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA NILIWAHI SIKIA WATU WANASAKA PESA ZA NAMNA HII. 0629 945 110.
  14. I

    Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  15. JanguKamaJangu

    Benki Kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali

    Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’. Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina...
  16. Lady Whistledown

    Jamhuri ya Afrika ya Kati yawa nchi ya Kwanza Afrika kuhalalisha matumizi ya Bitcoin kama sarafu rasmi

    Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake Jamhuri ya...
  17. chiembe

    Marais wa kiume picha zao ziko kwenye noti na kwenye sarafu, hebu tuwape wanawake sarafu moja ya Mama Samia, hii ni historia ya taifa

    Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama. Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
  18. Lady Whistledown

    Japan yaonya kuzorota kwa uchumi kutokana na kudhoofika kwa sarafu ya Yen

    Waziri wa fedha wa Japani Shunichi Suzuki mnamo Jumanne alisema uharibifu wa uchumi kutokana na sarafu ya yen inayodhoofika kwa sasa ni kubwa kuliko faida inayopatikana, akitoa onyo la wazi zaidi dhidi ya kuporomoka kwa sarafu ya hivi karibuni dhidi ya dola. Anguko la yen limezidisha shinikizo...
  19. BigTall

    Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua gesi kwa sarafu ya Kirusi, huku akimshutumu rais huyo kuwa mwenye nia ya kutaka kuvikwepa vikwazo alivyowekewa kutokana na uvamizi wake wa Ukraine. Macron aliwaambia...
  20. MoseKing

    Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

    👇👇👇👇
Back
Top Bottom