Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
Cloud seeding ni aina ya maboresho ya hali ya hewa yenye dhumuni la kubadilisha kiasi au aina ya mvua, kupunguza mvua za mawe au utawanywaji wa ukungu. Ila Mara nyingi lengo huwa ni kuongeza uwezekano wa unyeshaji wa mvua au kuangushaji wa snow, ama kwa namna nyingine njia hii hutumika kuzuia...
Katika taarifa ya pamoja na Pakistan nchi hizo mbili zilitoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano kati ya Mrithi wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif.
RIYADH:
Saudi Arabia inaonekana kuunga mkono msimamo wa India kuhusu Jammu na Kashmir katika...
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
IRAN pia ilinyonga watu...
Kiongozi mkuu wa kundi la Houth linalopambana na mataifa matatu yanayoiunga mkono Israel kuendeleza vita Gaza,ameionya Saudi Arabia isije ikafanya kosa la kutoa ardhi yake kufanikisha kushambuliwa kwa Yemen.
Onyo hilo limetolewa na Mohammed Ali al-Houthi kupitia mahojiano na kitua cha...
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.
Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi...
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana...
NDOTO ya kulipwa mishahara mikubwa na kwenda kuanza maisha kwenye ligi mpya ya Saudi Pro League imegeuka kuwa majanga kwa baadhi ya wanasoka duniani na sasa wanatafuta njia ya kurudi Ulaya.
Kundi kubwa la mastaa wa maana kwenye mchezo wa soka lilihamia huko Mashariki ya Kati katika dirisha la...
[emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210]
◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”.
◉ “We are better than French league already now”.
◉ “I feel so happy at Al...
Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola.
Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga.
Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe.
Hapa...
Wanaukumbi.
Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis
Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo unatanguliza usalama wa ndani na maendeleo ya kiuchumi kuliko kufanya operesheni za majini, na kutafuta...
Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?
Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50...
Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu.
Wakati huo huo taifa hilo mashuhuri kwa kusafirisha mafuta duniani limesisitiza juu ya haja ya kusitishwa vita vinavyoendelea...
Mzuka Wanajamvi.
Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS.
Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea...
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!
ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa.
Omar bin Laden
Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi kwenda popote.
Abdallah bin Laden
Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel
Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.