saudi arabia

  1. Sam Gidori

    Hatimaye Ripoti ya Intelijensia ya Marekani kuhusu kuuawa kwa Khashoggi yatolewa, MBS atajwa kuhusika

    Baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili, hatimaye ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani kuhusu kuuawa kwa Jamal Khashoggi imeachiwa siku ya Ijumaa ikionesha kuhusika kwa uongozi wa Saudi Arabia katika tukio hilo. Ripoti hiyo yenye kurasa nne imemtaja Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed Bin...
  2. FRANC THE GREAT

    Hatimaye mfumo wa Iron Dome kuwekwa katika eneo la Ghuba. Mzizi wa fitina kukatwa?

    Habari! Marekani iko mbioni kuutumia mfumo wa ulinzi wa anga wa "Iron Dome" kwenye vituo vya kijeshi katika nchi kadhaa za Ghuba kwa mara ya kwanza. Marekani ilinunua mfumo wa Iron Dome kutoka Israel baada ya makubaliano kati ya nchi hizo mnamo mwaka 2019. Kulingana na ripoti na vyanzo ndani...
  3. kbm

    Saudi Arabia yatangaza kujenga mji bila barabara

    Ujenzi huo utaanza miezi minne ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021. Usafiri wote wa umma utakuwa chini. Mwanamfalme Salman ametangaza lengo lake la kuanzisha mradi wa ujenzi wa mji usiokuwa na barabara na usioruhusu magari na kutoa maelezo ya taarifa hiyo siku ya Jumapili. Kwa mujibu wa mwana...
  4. EINSTEIN112

    Saudi Arabia yaruhusu ndege za Israel kupita juu ya anga lake

    Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s airspace for the first time. The announcement, made at the request of the United Arab Emirates...
  5. YEHODAYA

    Robot lapewa Uraia na Serikali ya Saudi Arabia

    Wakati watu huhangaika kupata Uraia Serikali ya Saudi Arabia imelipa Uraia li Robot linalojulikana kama Sofia. Hilo hapo
  6. Analogia Malenga

    Virusi vya Corona: Saudi Arabia yaweka marufuku ya Hija kwa wageni

    Saudi Arabia imepiga maarufuku raia kutoka mataifa mengine kufanya ibada ya Hija nchini humo mwaka huu ili kudhibiti virusi vya corona. Ni idadi ndogo tu ya watu wanaoishi kwa sasa katika ufalme huo watakaoweza kushiriki Hija, kulingana na tangazo lililotolewa kwenye vyombo vya habari vya taifa...
  7. J

    Kama Saudi Arabia na Vatican wameweza kufanya ibada majumbani sisi tuliopokea dini toka kwao tunashindwa nini?

    Jana nilimsikia Prof Lipumba akisema yeye ameanza kuswalia nyumbani ili kuepuka misongamano inayoweza kusababisha maambukizi ya Covid 19. Binafsi nikawa nimemwelewa vilivyo. Ndipo nikaanza kutafakari, kama Waislamu kule Saudia wanaswalia nyumbani Bakwata wanashindwa nini? Kama Wakristo kule...
  8. Analogia Malenga

    Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

    Serikali ya Saudi Arabia imezuia wageni wote wanaoingia nchini humo kwa safari za kidini, ikiwemo wanaotembelea miji mitakatifu katika dini ya Kiislamu - Makka na Madina. Mamilioni ya watu huingia Saudia mwaka mzima kufanya ibada ya Umra, na wengi zaidi huingia kwa pamoja kufanya ibada ya Hija...
  9. Sky Eclat

    Outrage As Saudi Arabia Executes Indonesian Maid For Killing Boss While He Was Raping Her

    An Indonesian maid identified as Tuti Tursilawati has been executed in Saudi Arabia for killing her boss while he was raping her. Mum-of-one, Tuti Tursilawati was executed after she killed her boss who was raping her, and this sparked outrage in Jakarta. Tuti Tursilawati was killed on Monday...
  10. Nyendo

    Marekani yasimamisha mafunzo ya wanajeshi wa Saudi Arabia baada ya shambulizi la Florida

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imesitisha kwa kiasi fulani mafunzo ya marubani wa kijeshi kutoka Saudi Arabia kufuatia lile shambulizi katika kambi ya kijeshi ya Marekani mjini Florida. Kulingana na wizara hiyo wanajeshi hao zaidi ya mia tatu hawatapokea mafunzo yoyote hadi taarifa zaidi...
  11. Nyendo

    Mwanamfalme wa Saudi Arabia atoa rambirambi kwa Trump kufuatia mauaji ya Florida

    Shirika la habari la jimbo la Florida limesema mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman amempigia simu Rais Donald Trump na kutoa rambirambi zake kwa familia na wahanga wa tukio la ufyatuaji risasi lililofanyika katika kambi ya wanamaji ya Florida hapo jana. Mwanamfalme huyo pia...
  12. Nyenyere

    Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

    Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya kwanza tu. Kweli kwenye mapambano muhimu kama haya yanayotazamwa duniani kote tunapeleka mabondia wa...
  13. beth

    Wafanyakazi wawili wa zamani wa Twitter washtakiwa kwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani

    Wafanyakazi wawili wanaodaiwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani, wameshtakiwa wakishutumiwa kuwasaidia Maafisa wa Saudi Arabia kupata taarifa binafsi za watumiaji wa Mtandao huo wakiwemo wakosoaji Nyaraka za Makamani zilizochapishwa na jarida la ‘The Washington Post’ zimetaja majina...
  14. FRANC THE GREAT

    Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

    Ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) zawasili nchini Saudi Arabia Jeshi la anga la nchini Marekani limetuma idadi isiyojulikana ya ndege maalumu za mashambulizi mazito na zenye kasi kubwa (Supersonic Bombers) aina ya Rockwell B-1 Lancer ama B-1B maarufu na ikijulikana kwa...
  15. tzkwanza

    Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu. Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu. Nina uhakika...
Back
Top Bottom