Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya
Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
Mamlaka za Saudi Arabia zimesema zimeanza uchunguzi baada ya video iliyosambaa mtandaoni kuonesha maafisa usalama wakiwashambulia wasichana wadogo katika kituo cha watoto yatima
Video zimeonesha askari na maafisa wengine wakivamia Katika Chuo cha Elimu ya Jamii kilichopo Khamis Mushait na...
Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii.
Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa...
Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini.
Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali.
Source: ITV
Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana.
Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
The deal will see Saudi Armco supply NOCK with refined fuel at exclusively lower process than the global fuel costs.
Under the government-to-government deal, NOCK will be importing 30 percent of the country's monthly petroleum requirements.
The National Oil Corporation of Kenya (NOCK) will...
Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili
Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya kigaidi ya kigeni" na kuwa na "imani potovu", Shirika la Habari la Serikali la Saudi Press Agency...
Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati.
Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea...
Yemeni army soldiers, backed by fighters from allied Popular Committees, have launched a missile strike, targeting arms depots belonging to Saudi-sponsored militants loyal to Yemen's former president Abd Rabbuh Mansur Hadi south of the country’s central province of Ma’rib.
Local sources...
Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
The men were arrested three years ago and accused of affiliation with a terrorist organization and raising funds on its behalf.
Hamas has expressed “shock” at the ruling issued by a Saudi court against a large number of Palestinians and Jordanians residing in the Kingdom.
According to Hamas...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema idadi ya matukio ya utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia imeongezeka tena baada ya nchi hiyo kukamilisha muda wa urais wa kundi la nchi zilizostawi na zile zinazoinukia kiuchumi duniani za G20 katika...
Israeli-managed tanker attacked off Oman, motive unclear, 2 dead
DUBAI, July 30 (Reuters) - A petroleum products tanker managed by Israeli-owned Zodiac Maritime came under attack on Thursday in the Arabian Sea, off the Omani coast, the company said on Friday in what it described as suspected...
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019.
Akizungumza na...
Kuna Mwanajamiiforum humu ambaye kaandika heading yake kwa chuki sana kuhusu kuzuiwa kwa sauti za Adhana nchini Saudi Arabia, na inaonekana anachuki sana dhidi ya dini ya kiislamu. Kwa sababu ya ufahamu wake mdogo namfahamisha kuwa Kilichokatazwa ni kutumia sauti kubwa za spika ambalo sio jambo...
Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu.
Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran?
Kuuliza siyo ujinga.
Ramadhan kareem!
The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the Saudi gazette.
"RIYADH — The Custodian of the Two Holy Mosques King Salman has sent a cable of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.