SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Mwezi wa Ramadhan ni moja kati ya nguzo kuu za Uislamu. Kama ilivyo idhinishwa katika Kitabu kiukufu {QUR-AN 2 : 185}cha Waislamu. Siku za kufumga kati ya 29 mpaka 30 pia inategemea muandamo wa Mwezi.
AFYA NA FAIDA YA SWAUMU
1. Ni kutekeleza mojawapo ya amri za Mwenyezi Mungu alizotuteremshia...
HABARI WANDUGU
NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?
AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi...
Ramadhani njema wanajamvi!
leo naleta hoja lakini hoja yangu ni ya kiimani nataka kujua kupata kujifunza kutokana na fikra zangu hazinishawishi pia,nifahamike mimi imani yangu ni muislamu hivyo siyo kama nakebehi kuhusu hoja yangu na ikiwa nimekosea mungu anisamehe.
Qur'an na bibilia...
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024
Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome.
Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga...
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam.
Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao.
Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini;
Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya;
Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja;
Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya...
Habarini ndugu zangu,
Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu
Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti.
Swali langu ni
Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,.
Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za Kijijini Kwao pasipokuwa na mwelekeo Wowote Huku akionge Mwenyewe.
Kisa kinaanza hivi. Baada ya...
Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi wako wa office ya Tanroad Njombe kwa mbwembwe tu na akiwa mlevi kazini alimshambulia mkandalasi kwa...
Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda.
Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA.
Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani.
Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
Pamoja na Israel kushindwa kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea na japo imeshawahamisha wapalestina wa Gaza huku na huko bila mafanikio lakini bado imeweka nia thabiti ya kushambulia eneo la Rafah.
Umoja wa mataifa na kila mmoja wameshatoa angalizo kuwa kushambulia eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.