SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
"Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly sc) ambao hawana masihara basi wahakikishe wanavalia na bukta kwa ndani kwani mwarabu si mtu mzuri"...
Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano
Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano?
Panatofauti gani kati ya...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote.
Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote.
Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa na...
Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu?
Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada.
1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.
Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi huu wa Kinatokea ukiendelea mtakuja Kupigwa / Kuchapika vibaya na Mashabiki na hiyo Timu itatekwa...
Tumpate mtakwimu atuwekee orodha ya matumizi ya viongozi! (bajeti)
Huenda wanatumia 80% ukilinganisha na mahitaji ya wanamchi nchi nzima!
Maana haiwezekani hadi Leo miaka 60 ya Uhuru tuna umeme wa mgao, barabara mbovu, Hosp zetu hazina uhakika wa huduma!
Mfano; Ebu filkilia hapo ulipo sasa...
Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
Wakuu inakuaje,
Tano ni moja au moja ni Tano?
Anyway,
Kuna Dogo mmoja ni msela wangu sana mambo mengi sana tunashirikiana, Sasa bhana Dogo alkua mkoa X ambapo ndio kwao kabisa , Dogo akanambia oya nakuja huku dar, nataka nije nikajifunze kitu flani kwenye chuo flani cha hayo mambo flani...
Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki.
Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa...
Unaweza
1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU.
2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia.
3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane.
4: Kuomba umeketi kama daudi.
5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na amani nchini humo kufuatia mapigano ya muda mrefu baina ya...
Habari za saa hizi wana jamvi, hongereni wana Dar es Salaam kwa mvua, sasa hamna kisingizio cha kutokupeana.
SIASA: Ukiacha biashara haramu ya madawa ya kulevya, biashara ya Siasa ndiyo inayolipa kuliko zote. Wakati kila uchao maghorofa na biashara mpya zikifunguliwa, siasa ni biashara mpya...
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
Wakuu kwema?
Kukatika kwa umeme kila siku kumekuwa kero sana hasa kwa biashara ndogo.
Tatizo ni nini?
Kwanini kila siku?
Yaani tatizo la umeme kwenye nchi yangu naweza kufa na bado lipo ni kama imekuwa laana.
Niwatakieni siku njema.
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.
DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua...
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE...
Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.