Wakuu inakuaje,
Tano ni moja au moja ni Tano?
Anyway,
Kuna Dogo mmoja ni msela wangu sana mambo mengi sana tunashirikiana, Sasa bhana Dogo alkua mkoa X ambapo ndio kwao kabisa , Dogo akanambia oya nakuja huku dar, nataka nije nikajifunze kitu flani kwenye chuo flani cha hayo mambo flani...