Habari wana JamiiForums,
Ningependa kuibua changamoto niliyokutana nayo katika matumizi ya nCard kwenye vivuko vya Azam Marine, eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam.
Nilikuwa nimeweka salio la TSh 1,000 kwenye nCard yangu. Nilipofika kwenye scanner, nilimskania ndugu yangu na akaweza kuvuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.