screenshot

A screenshot, also known as screen capture, or screen grab, is a digital image that shows the contents of a computer display. A screenshot is created by the operating system or software running on the device powering the display.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

    Nimeichukua huko mjini X (zamani Twitter )
  2. Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

    Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa? Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu mwingine akiona anashangaa kumbe fulani huwa hivi. Wengi huwa wanasearch vitu mbalimbali kama mpira...
  3. M

    SI KWELI Nape atahadharisha kufanywa kwa siasa za kijinga, asema zitagharimu roho na damu za watu

    Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu. Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
  4. Jinsi ya kugundua kuwa mtu ame-screenshot charts zako WhatsApp

    Ushawahi kuhofia mtu kuchukua secreeshot za chats zenu mlizokuwa mnaongea kwa siri? Tuseme, unachat na mtu Snapchat au Whatsapp then mtu aka-screen shot Maongezi yenu na kumtumia Mwingine? Hii imekuwa shida sana kipindi hichi! Ili kutatua hilo Android.. wamewezesha.... 1. Downlod App ya...
  5. Screenshot apps zinazokusaidia katika uwekzaji na uchumi

    weka screenshots ya Apps ambazo zinakufanikishia kwenye uwekezaji... Tujifunze kitu. Kwangu mimi ni hizo...hapo Luna 1.UTT (Unit Trust of Tanzania) 2.NIC KIGANJANI (National Insurance Corporation) 3.DSE (Dar es Salaam Stock Exchange) 4.NSE (Nairobi Security Exchange)
  6. Weka hapa screenshot ya screen ya Simu yako tujue social media platforms unazopenda zaidi

    Moja kwa moja Mimi naanza
  7. Mwenye Ipad anikodishe dakika kadhaa nahitaji ku screenshot iOS App

    Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
  8. Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

    Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua . Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas . Najua una Wife unaishi naye Home au...
  9. B

    Kuondoa mlio wakati wa screenshot

    Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
  10. Nipe jina la hii movie

    Hii ni screenshot.
  11. Facebook kutoa taarifa endapo Mtu aki screenshot ujumbe kwenye messenger

    Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe. Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger...
  12. Mbinu za kutumia Windows 10 kwa ufanisi zaidi

    Whether you've been using Windows 10 for years or have only recently upgraded, there are plenty of new and old tips, tricks and hidden features to learn that will make using your laptop every day faster and smoother. Learning to be quicker and more productive on your laptop may be especially...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…