Tuone screenshot ya meseji yoyote kwenye simu yako iliyo kukushangaza, kukufurahisha, kukuhuzunisha, etc

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20250405_212926.jpg
 
Nimeshafuta.
Ilikuwa inasomeka hivi:-
"Naomba unipage na mimi hicho unachompaga mkeo basi, yaani binti yangu akisimulia mambo yako huwa nakutamanigi we hujui tu..."
Hii SMS ilitoka kwa mama mkwe. Kumbe habari zangu huwa anazipata kutoka kwa mke wangu na nilipigwa na butwaa.

Ama kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
 
Na ukajibuje mkuu wangu?
 
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom