Ndugu zangu,
Rejea kwenye post yangu NATAFUTA KAZI MAJI YAMENIFIKA SHINGONI.
nafanya kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi GARDAWORLD nalipwa 240,000/= kwa mwezi hapo makato yote yamesha katwa. Japo nina diploma ya uandishi wa habari, nimetafuta kazi inayoendana na elimu yangu takribani miaka...