UWEPO WAKO KILA SEHEMU.
Je wajua hili.
Wajua kuwa wewe upo Kila mahali?.
Kuna msemo huwa unasema kuwa ULIPO, NIPO!
Wewe upo Tanzania, upo Ameri, upo Asia, upo Sayari mbalimbali, upo kwenye Kila Galaxy na upo mahali pote.
Kinachokufanya ujione mnyonge ni hako kamwili.
Kuna kauwezo Fulani...