Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau.

Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu unapozifichia hata kama unaweka kwenye droo geto ukitoka mawazo yote yapo kwenye droo unahisi kama mtu kamuona unapoziweka aisee unaweza ukapata Tu wazi la kwenda home fasta Uka verify zipo au hazipo.

Kuna kipindi bado mshamba wa hela and of course mpaka sasa bado NI mshamba wa hela nilikuwa na million 2 nikazichimbia karibu na kwangu tena usiku na kumbuka kwangu nakaa mbali na majirani hivyo hakuna aliyeona lakini moyoni wasiwasi aisee kesho yake nikaenda kuzitoa na kuzihamisha ofisini kwangu na nipo peke yangu sio room ya Kushare nikaweka ndani ya zile Bomba za mapazia.

Aisee huwezi amini bado nahisi kama mtu kaniona nilivyoweka lakini kumbe wala hamna. Hela zinaendesha hadi Raha kwangu me na enjoy hizo heka heka za kuchunga mzigo wangu.
 
Matajiri wanakaa na magunia ya noti majumbani mwao na Wala hawana wasiwasi. Mafisadi wengi hawafichi hela zao benki wanahofia kuuliza wamezipata wapi. Wafanyabiashara wengi hasa wenye asili ya kiasia hapa bongo hawaweki dollar zao benki. Jiulize fedha zinafichwa wapi ukiacha chache zilizo kwenye mabenki ya ndani na nje na zinazozungushwa kwenye miradi.
 
Even me siweki pesa benk.kabisa huwa naweka ndani hata ziwe laki Sita hukooo ntaweka ndani 😂😂😂😂😂😂
 
Matajiri wanakaa na magunia ya noti majumbani mwao na Wala hawana wasiwasi. Mafisadi wengi hawafichi hela zao benki wanahofia kuuliza wamezipata wapi. Wafanyabiashara wengi hasa wenye asili ya kiasia hapa bongo hawaweki dollar zao benki. Jiulize fedha zinafichwa wapi ukiacha chache zilizo kwenye mabenki ya ndani na nje na zinazozungushwa kwenye miradi.
Ila wale si Wana system za security Ambazo ziko tight hawana wasiwasi
 
Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau.

Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu unapozifichia hata kama unaweka kwenye droo geto ukitoka mawazo yote yapo kwenye droo unahisi kama mtu kamuona unapoziweka aisee unaweza ukapata Tu wazi la kwenda home fasta Uka verify zipo au hazipo.

Kuna kipindi bado mshamba wa hela and of course mpaka sasa bado NI mshamba wa hela nilikuwa na million 2 nikazichimbia karibu na kwangu tena usiku na kumbuka kwangu nakaa mbali na majirani hivyo hakuna aliyeona lakini moyoni wasiwasi aisee kesho yake nikaenda kuzitoa na kuzihamisha ofisini kwangu na nipo peke yangu sio room ya Kushare nikaweka ndani ya zile Bomba za mapazia.

Aisee huwezi amini bado nahisi kama mtu kaniona nilivyoweka lakini kumbe wala hamna. Hela zinaendesha hadi Raha kwangu me na enjoy hizo heka heka za kuchunga mzigo wangu.
Eeeeh phoogheee
 
Huu umekua utaratibu wangu, nimetunza pesa nyingi sana ndani na uzuri naishi mwenyewe..
Benki huwa naweka kiasi tu endapo itatokea dharura ya kifedha na niko mbali na nyumbani niweze kusolve.
 
Back
Top Bottom