Miaka ya themanini dunia ilikuwa inaandikwa kwenye kitabu
Ni aghalabu sana kwa mali au sehemu ya mawazo ya muandishi kupotea sababu ya upatikanaji wa hizi nakala za waandishi,watu walihifadhi maandishi kama inavyohifadhiwa mali na kwakiasi kikubwa tumeikusanya elimu ya vitabu vichache na...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya...
Kama club Sawa tunaweza kukubali ila sehemu open mtu una akili zako nafika nipate huduma eti kabla sijakula au kunywa nadaiwa hela jamani mbona tunatiwa ubwege sana tunatoana class pasipo la msingi ingelikuwa kweli kuna matukio ya watu kukimbia kulipa au kudai Kwa bunduki kweli tungekubali...
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha...
Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui.
Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
Anonymous
Thread
biashara
kero
mazingira
sahihi
sehemu
uchafuzi
uchafuzi wa mazingira
uchaguzi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira)
Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
Dola ni chombo cha usalama wa nchi ambapo ndani yake kuna lengo la kupanga na kuratibu mambo yote ya usalama, kuhakikisha ufanisi wa sera sera na utekelezaji wake katika maendeleo pamoja kuchambua na kutafsiri sheria,sera na kutuza utamaduni.
Sometimes Dola huangaliwa kama ni chombo cha Usalama...
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi.
1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
====
Serikali...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini
Utangulizi
WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
Habrini wana JF,
Mimi leo langu ni swala zima la watu (haswa sisi watanzania) kulipia huduma ya kujisaidia sehemu mbalimbali kama stendi na sikoni. Najuwa baadhi yeta tunaweza sema oooh kunahitajika usafi, sawa, mbona kwenye viwanja vya ndege kuna vyoo na vipo safi muda wote? Pia hata nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.