Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
Wanasiasa huwa wana kawaida ya kujizima data. Ndani ya masaa 24 anaweza kutoa kauli 2 zinazokinzana bila aibu.Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Kawaida, ni hulika za wanawake, hata mkeo yupo hivyo, ila hunaga muda wa kukaa na kumtazama akiwa anapiga soga na mashost zake, sababu ya ubize wa kazi au kutingwa na JF, ndio maana humuonagi...Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
Ukitaka kujua yote anayozungumza au kuyafanya basi pitia post za wanaCHADEMA. CDM wanamfatilia Samia kwa kila hatua kuliko hata CCM wenyewe.Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Samia huwa nahisi ni dishi au mwezi mchangaHuwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Labda tuipitishe kuwa Katiba ya nchi ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba ambayo iliyapunguza kwa sehemu kubwa madaraka ya Rais. Kinyume na hapo, usitegemee muujiza.Ndio ujue tofauti ya kiongozi na mtu wa kawaida kufosi kuwa kiongozi sababu ya tamaa ya pesa na mali.
Next time tutakuwa makini na nani anashika nafasi nyeti za kitaifa.
Huyo mama mtamuonea tu maana kwanza hakutaka kuwapo hapo ila saa hii kazungukwa na watu wenye tamaa wanamjaza maneno na upofu anajikuta anakuwa spika la kuongea maoni ya wendawazimu wanaomzunguka na hatuwaoni wakifanya maamuzi ya hovyo.
Tupambane
Chadema lazima wafatilie kila hatua na nukta kwa sababu wapo makini kusikiliza sera na ahadi za ccm ambazo zinaweza kutekelezeka, porojo, blaablaa na uongo uongo maana wao ni wapinzani wake ila mwana ccm hana haja ya kuwa makini yeye anachosubiria ni October akatiki iwe anaambiwa ukweli au porojo ye October anatiki.Ukitaka kujua yote anayozungumza au kuyafanya basi pitia post za wanaCHADEMA. CDM wanamfatilia Samia kwa kila hatua kuliko hata CCM wenyewe.
Huyu hata akiwahiwa hawezi kuponaHuwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Kashawaambia kafeli form four hamuelewi wapi?Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Nimeamini maneno ya Waziri wa Afya aliepita.Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
Yule ambae alikuwa Mbunge wa Tanga Mjini? Ama??Nimeamini maneno ya Waziri wa Afya aliepita.
Huyo hakupaswa kukaa Ikulu. Ashukuru mfumo wa elimu unatengeneza mazezeta wengi!Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
View attachment 3471904
We jamaa 😂 😂 😂Huyo hakupaswa kukaa Ikulu. Ashukuru mfumo wa elimu unatengeneza mazezeta wengi!