Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa.
Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 .
Kuna karama
Kuna huduma na
Kuna kipawa.
Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani.
Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito na kazi alizopewa na Mungu.
Kazi yoyote inafocus vitu 3
Muda sahihi
Mahali sahihi na
Malengo sahihi (makuu).
Shetani kitu cha kwanza kabisa atahakikisha unazaliwa mahali ambapo si sahihi.
Ulipaswa kuwa mbunge California USA yeye anahakikisha unazaliwa Chato Geita.
Ulipaswa kuwa Rais wa Zambia yeye anahakikisha unazaliwa Kenya tayari automatically amekupiga knock out mapema.
Mfano huyu Tundulisu alipaswa kuwa kiongozi nchi kubwa iliyostaarabika lakini shetani automatically akahakikisha anazaliwa Singida Tanzania.
Wengi tumezaliwa mahali si sahihi kwetu. Mimi ni miongoni.
Yesu mwenyewe alifanyiwa diversion mahali pa kuzaliwa lakini kwakuwa Yesu ni next level akaweza kusimama kwenye kusudi lakini mwanzoni mwa huduma yake matokeo hayakuwa makubwa. Baadaye mambo yakakaa sawa