Diego Santana
Senior Member
- May 10, 2025
- 147
- 218
Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
I'm just asking.
vyote ni muhimu. Unahela zako nenda Masaki, Upanga...una hela za madafu nenda MbagalaUnahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
Utawajuaje bila kukaa nao!Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
Kama huku Dodoma una hela nenda Uzunguni,uhindini, Kisasa,Ilazo,una za madafu nenda Chang'ombe,Chadulu!Ndio, ni jambo la muhimu sana sababu wanadamu wa siku hizi ni wakorofi sana
Aisee mbona mnatudharau watu wa mbagala tumewakosea nini?vyote ni muhimu. Unahela zako nenda Masaki, Upanga...una hela za madafu nenda Mbagala
Mbagala purukushani nyingi kama kariakoo.Aisee mbona mnatudharau watu wa mbagala tumewakosea nini?
Nina nyumba huko tena pale barabarani kwa Mbiku/matitu toka mwaka 1993......sijawahi kukaa...sasa hivi kumejaa kishenzi with no town planning at all! Lakini unaweza kaa as long as uko kwako na fence kali.It is Ok!Aisee mbona mnatudharau watu wa mbagala tumewakosea nini?
Hiyo ni facta muhimu sana usije ukajenga ghorofa uswahilini utajutaUnahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
sasa anonymit yagu itakuwaje? Wapo watu wanapanga.............Niruhusu nikakae Mimi mkuu
Safi Sana mkuu maana Kwa mbiku pameshakuwa mjini......Mimi nipo chamazi huku ukiwa na buku 10 mnakula familia nzima na chenji inabakiNina nyumba huko tena pale barabarani kwa Mbiku/matitu toka mwaka 1993......sijawahi kukaa...sasa hivi kumejaa kishenzi with no town planning at all! Lakini unaweza kaa as long as uko kwako na fence kali.It is Ok!
Onho,nikajua haishi mtu mkuusasa anonymit yagu itakuwaje? Wapo watu wanapanga.............
Lakini maisha pote ni ghali! Nilikuwa Rangi tatu kununua vifaa vya biashara...bei ni hizo hizo! Nilidhani kuna unafuu.......si hivyo! Chamazi kuna bandugu wengi.......kumechangamka sana. Najuta nilitiwa mashamba siku zile nikasusa...leo ningelikuwa tajiri wa ardhi hukoSafi Sana mkuu maana Kwa mbiku pameshakuwa mjini......Mimi nipo chamazi huku ukiwa na buku 10 mnakula familia nzima na chenji inabaki
anaishi mtu...nilinunua sehemu kubwa najenga vi apartment...chumba sebule choo.....kwa mabachelorOnho,nikajua haishi mtu mkuu
Idea nzuri sana mkuuanaishi mtu...nilinunua sehemu kubwa najenga vi apartment...chumba sebule choo.....kwa mabachelor