Sehemu gani kwenye Ajira Portal naweza nika-cancel maombi yangu ya ajira

Sehemu gani kwenye Ajira Portal naweza nika-cancel maombi yangu ya ajira

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
 
Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
Hakuna mtu yeyote duniani alie wahi kupata faida eti kwasababu anahasira ama anajua kukasirika sana...🤨
Watu wote walio fanikiwa walikua na subra kijana
 
Acha wenge dogo pooza uji kunywa tulia Dunia aina huruma kwa wakata tamaa pambana wewe
 
Pambana acha hasira,kazi za ajira portal zinahitaji subira na kujiandaa vya kutosha na kila mtu ana wakati wake usikate tamaa apply Anza kujiandaa mdogo mdogo ukiitwa interview utatoboa tu
 
Kunywa konyagi, daka mshangazi nakuja kulipa tujadili hili suala.
 
Ka edit barua ya maombi. Mwanaume unakataje tamaa?
 
Back
Top Bottom