Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu?
Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au anapoint hilo eneo la kifuani?😅😅...
Embu fanya kujaribu hapo kama unaitwa then unasema Mimi huku ukiwa umegusa sehemu nyingine tofauti na hapo kifuani... (Mimi nimeshika shavu nikabaki tu kucheka hapa)