Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Yes na vina kua mfanano duniani kote...
Screenshot_20250827-141754_Chrome.jpg
 
Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu?

Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au anapoint hilo eneo la kifuani?😅😅...

Embu fanya kujaribu hapo kama unaitwa then unasema Mimi huku ukiwa umegusa sehemu nyingine tofauti na hapo kifuani... (Mimi nimeshika shavu nikabaki tu kucheka hapa)

UNATAKA AGUSE MAKALIO AKIULIZA MIMI? AU AGUSE KIUNO?
 
Umewahi kujiuliza pia kwanini mtu akihisi/akisikia harufu mbaya hutema mate?

Ni bora hata ingekua mtu akihisi harufu mbaya anatoa makamasi ingemake sense coz Pua ndio inayonusa na sio mdomo wala mate!
 
Mimi nikiiitwa huwa najigusa Kinyeo.

Na ndipo hapo anayeniita anaelewa somo anakuja kwa kasi ananidaka mkono na kunipeleka chumbani mwendo wa kijeshi.

Hapo Bichwa Komwe chupi imeloaa chepe chepe sielewi kitu naburuzwa tu kuelekea kwenye uroda.

Cc: Harmful The Icebreaker
Ila shem,, unazingua broh anajua upo humu, 😂
 
Back
Top Bottom