Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
Kila Kona DSM ina burudani,Inategemea bajeti yako,ukiona vipi kama uko Shekilango nenda hotel za hoteli za bei ya kati,na hata kimara machimbo kama yote,ubungo maji kwa juu kama unaenda kimara karibu na baruti Kuna chimbo la kimangi limejaa mashisha na rangi za vibe kama zote, cocktails na mocktail kama zote Ukienda Sinza kila sehemu ni vibe kitambaa cheupe na ukiwa victoria vibe kama zote,ukienda slipway huko ni full next level Na kama uko Kawe kila kona Kuna vibe.
Ukija katikati ya mji Kaliakoo kumejaa lodge za kisasa na zina vibe za wakongo na wazambia na nyama choma kama kawa.
Ukienda airport Kuna pub Kali sana maeneo hayo huku midege na chopa zikitua na kupaa.

Ukiamua kwenda kigamboni au maeneo ya Navy na viunga vyake kila kitu Kiko mob.
Ukiwa masaki na obay unaeza kwenda polisi ofisas mesi kwa pembeni Kuna coco beach kazi ni kwako.
 
Kaka shukrani sana lakini ningependa sehemu Nzuri zaidi very class
 
Umemaliza kila ktu, akishindwa akuchukue tax driver atampeleka popote atakapo, hata kama anataka kuibiwa
 
Hayupo dar huyo, apo anachart na mchumba anataka badae amdanganye yupo hilo eneo anaangalia mpira.
Dhuu kama uko Dar nikualike mchana tuangalie gem ya Astonvilla ule bia tajiri njoo inbox nipe number
 
Back
Top Bottom