Usiende na mkeo sehemu ya starehe unayofanyaga ujinga, utaaibika

Usiende na mkeo sehemu ya starehe unayofanyaga ujinga, utaaibika

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana.

Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya

Sasa jana nikasema nikapate kitimoto na mamsapu, lilikuwa kosa ambalo sitorudia kulifanya. Wakuu mazoea na hawa barmaids siyo kabisa, wanaweza kukuharibia ndoa.

Niishie hapo
 
Screenshot_20250913-133924~2.jpg
 
Kuna mtu hapa anasema eti, mke pakuongozana nae ni kanisani tu. Sijui mnakubaliana naee!?
 
Back
Top Bottom