Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Waandishi wa habari kutotumia taaluma zao katika kusambaza taarifa ambazo zinachochea ukatili wa kijinsia bali wasimamie misingi ya uandishi na utoaji wa taarifa wenye lengo la kuelimisha na kuhabarisha na hatimaye kukuza ustawi wa...
Kipindi hicho nakaa Tegeta kwa Ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa.
Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa...
Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo
Taarifa inasema kijana...
Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ?
Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k.
Mahakamani - mahakimu ha majaji
Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
Ama kweli tembea uone!
Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%.
DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama hutendwa hadharani!
Mfano, mgeni usafiripo kwa kupitia mpaka wa Kasumbalesa kwa roli kwenda...
UTANGULIZI
Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023.
Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
Hapo vip!!
Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa.
Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k
Au ni ile laana ya asili waliokuwa nayo?
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.
Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
Hivi,
1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?
2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William.
Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza.
Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
Mtoto mmoja (12) mkazi wa kijiji cha Migato Wilayani Itilima, anadaiwa kufanyiwa vitendo vya ukatili na mtu asiyejulikana hadi kumsababishia majeraha makubwa sehemu zake za siri.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP Edith Swebe, amasema kuwa katika tukio hilo mpaka...
Wasalaam,
Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali.
Hawa wageni nataka...
Sehemu ya 1
JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake
Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao.
Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha?
Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k.
JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.