Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni.
Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023.
"Serikali katika Jimbo la...
Kumekuwepo na changamoto ya wahalifu wengi (japo sio wote) kuongeza matukio ya kihalifu na tabia zisizo za kimaadili pindi wanapotoka magerezani baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao. Ambaye alikua havuti sigara anatoka anavuta sigara, aliyekua hanywi pombe anatoka anakunywa pombe, aliyekua...
Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi
Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia na kulelezea vyema
Sasa sijui ni kwa nini? Au asali imekolea kwa cheamani?
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja.
Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏
Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe.
Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
Yaani umepaki gari mtaan ukaenda tu kwenye fremu za maduka kununua bidhaa ukirudi
unakutana na risit ya kulipa ushuru wa maegesho. Ushuru wenyewe wanaenda kugawana psho huko Hazina na Halmashauri kisha CAG anakuta madudu matupu. Hii si sawa
Habari wana JF!
Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo.
Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye mchakato mzima kuanzia
Kufungua akaunti
Kuweka picha,
Ku upload vyeti
Kureset Password
Na kutuma...
Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania.
Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put...
Hello JF family,
Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani.
Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu.
Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho
Watanzania wengi baadhi yetu ni washamba wa starehe,hivi kwa akili yako kabisa unaweka pesa ili ukatumie siku ya sikukuu hizo ni akili za kitoto.
Siku za sikukuu ni za watoto au vijana wanao ishi kwa wazazi wao kwenda kuenjoy Mana ni siku yao ya kuwa free.
Ukiwa na mwanamke anawaza siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.