Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu...
Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
MwanaJF wenzangu,
Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama.
Mimi nitafanya yafuatayo;
1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti.
2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki
3. Kwenda sokoni na mifuko...
Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka.
Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000.
Uzuri...
Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu.
Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo.
1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu.
2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu yeyote aliyepata mke kwenye sehemu hizo atoe ushuhuda pia anipe muongozo
Kwa maana mpaka Leo natafuta mke wa kuishi nayo sehemu hizi
Kwa sababu
Wahudumu wasafi wanyenyekevu warembo pia wazuri
Inafikia hatua hadi natafutiwa mke nawajibu Bado...
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa.
Hivi kiuhalisia serikali...
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.