Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane
Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu
Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini.
Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko?
Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
Sehemu wanazopendelea
Kukaa majini.
Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na
kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika
mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na
kuzuiwa kuishi katika mkusanyiko, yaani jamii ya
pamoja ( mfano wa binadamu tunavyoishi) ila
waliendelea kuishi katika mgongo wa...
Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza .
Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka...
Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto
Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini
Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli .
Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha .
Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.
Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa.
Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa serikali itabeba gharama zote za matibabu kwa waliojeruhiwa na kwamba baada ya zoezi la uokoaji...
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu.
Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha.
"Ni lazima niende sehemu...
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote.
Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka?
Tushirikishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.