sekta binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je, unajua namna Sekta Binafsi zinavyoshiriki katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi?

    JamiiForums wakishirikiana na Taasisi ya Wajibu wataangazia dhana nzima ya Mabadiliko ya Tabianchi, Athari zake pamoja na jitihada Mbalimbali zinazofanywa na Sekta Binafsi katika kukabiliana na Changamoto hii. Karibu ujiunge na ushiriki nasi kwenye Mjadala huu utakaofanyika siku ya Alhamisi ya...
  2. N

    Waziri Mkuu Majaliwa ataka waajiri sekta binafsi kuzingatia afya za wafanyakazi kazini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi waajiri nitoe wito kwenu zingatieni afya ya wafanyakazi na usalama mahala pakazi" Pia ameongeza...
  3. B

    Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

    Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija. Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa...
  4. benzemah

    Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi

    Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
  5. Replica

    Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC). Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua...
  6. aleyability

    SoC03 Utawala Bora wenye Mabadiliko yenye nguvu kwa Maendeleo ya Kesho

    Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa manufaa ya umma. Utawala bora unahusisha uwazi katika maamuzi ya serikali, uhuru wa kujieleza, haki za...
  7. Targaryen Golden

    SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
  8. olimpio

    Wababe wa Kidigitali Tanzania Sekta Binafsi na Umma

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inageuka kutoka analogy kwenda digital, utendaji wa sekta binafsi na serikali vinabadirika kwa kasi sana. Leo tuwaangalie wachache kati ya wengi, viongozi wanaoongoza mageuzi ya kidigitali nchini, toka sekta binafsi na sekta ya Umma. 1. Vodacom Managing...
  9. R

    Kwa joto la kisiasa lililopo kwenye sekta binafsi; naona baraza la mawaziri likifumuliwa; sekta nyingi zimeyumba

    Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi. Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Sekta Binafsi ni Nyezo muhimu katika kuibua Mipango mbalimbali ikiwemo fursa za Fedha

    SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
  11. S

    Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  12. Stuxnet

    Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

    Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo; 1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa 2. Kuvunjika kwa milango na...
  13. K

    Ripoti ya CAG ni Majonzi, Je angekuwepo CAG wa Uwekezaji na sekta binafsi ingekuwaje?

    WaTanzania wenzangu, ni mawazo tu yanayoingia akilini, wakati tunapofunuliwa yanayofanyika huko ndani ya serikali yetu yanayohusu ufujaji mkubwa wa pesa za wananchi. Huu ni utaratibu unaojulikana, kwamba kila mwaka CAG anatoa ripoti yake kuonyesha ni namna gani serikali ilivyosimamia matumizi...
  14. Replica

    Serikali kurejesha hoteli zake zinazoendeshwa na sekta binafsi ili kuboresha huduma

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya watalii hao kuongeza siku za kukaa nchini na hatimaye kukuza pato la Taifa. Amesema moja ya mkakati...
  15. N

    Je, ni kweli Sekta Binafsi inasaidia kukuza Uchumi?

    Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa uchumi na utendaji wa sekta binafsi unaochagizwa na sera bora za serikali ya Rais Samia Suluhu...
  16. B

    Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  17. K

    Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

    Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
  18. Analogia Malenga

    Ummy Mwalimu: Tunaenda kurekebisha sheria inayomuondoa muajiriwa wa sekta binafsi kwenye bima ya afya baada ya kustaafu

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Sheria inayomuondoa mstaafu wa sekta binafsi kwenye Bima ya Afya baada ya kustaafu itarekebishwa ili kumtendea sawa na watumishi wa sekta ya umma. Waziri amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Deodatus Balile, ambapo alisema kwa sasa watumishi wa sekta ya...
  19. Mwaikibaki

    Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

    Wadau, Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa! ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni...
  20. N

    Uboreshaji sekta ya elimu unaendelea

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na lengo lake la kuimarisha sekta ya elimu ujenzi wa madarasa 8000 ya secondary unaendelea. Lengo la ujenzi wa madarasa haya ni ifikapo 2023 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waweze kuanza masomo kwa wakati mmoja bila kuwepo kwa...
Back
Top Bottom