Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025.
Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
UHABA UJASUSI WA KIUCHUMI NA MKWAMO WA SEKTA BINAFSI.
Na Yericko Nyerere
Wakati nafikiria na kuamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, nilikuwa nimejiridhisha vya kutosha juu ya uwezo mdogo wa taifa letu na watu wake katika medani ya ujasusi wa KIUCHUMI, na hivyo nikakusudia...
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%.
Binafsi napongeza hizi hatua za...
Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi.
Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
Katika miaka ya hivi karibuni tatizo la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, na serikali zimekuwa zikifanya juhudi katika kuhimiza vijana kutotegemea ajira za serikali au makampuni peke yake, kutokana na ufinyu wa idadi ya ajira kwenye maeneo hayo...
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.
Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.