KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC: MADALE MWISHO
Bei 135M (Maongezi Yapo)
Mawasiliano 0748 270 719
Educated Africans will defend Quran, defend Bible, defend everybody else but will never defend their ancestors. We are not being educated in Africa, we’re being programmed.
Habarii great thinkers,
Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
Wakuu, za sahizi tena
Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread
Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,
Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko
Sema mpo...
Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof).
*Master room
*Sebule/sitting room (kubwa)
*Self bedroom
*Jiko
*Study room
N.B: Ni kwaajili ya bachelor life. So public toilet itakuwa nje.
Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa.
Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled howitzer uliokuwa na masaada mkubwa kabisa katika uwanja wa vita kwa upande wa Ukraine, uliotolewa...
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
👉I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na...
Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki.
Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini bei elfu kumi.
Wali samaki nimekula sehemu kwa shilingi 2500.
Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
Ama kwa hakika aliyewahi kuthubutu kusoma kazi za huyu mzee anaweza kusadiki maneno yangu kwamba ni kalamu moja flani hivi yenye utulivu ndani yake..... riwaya kama MWIBA...THE GOD FATHER...TUFANI...DHIHAKA....MARRY MARIAM... na nyingine nyiingi..... napenda kushare na nyinyi hii najua wapo...
Life is Love on my side I real Appreciate Mama Samiah as the president she is doing well
No bullets
No Kidnap
No injustice
RIP JPM
RIP Benjamin
As well There's someone else called Sabaya from Massai tribe i guess so I wish this man to save his lifetime in Jail at least 80 years so Mama please...
Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka.
Sifa:
1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana)
2. Hali nzuri
3. Usalama/fence
4. Inafikika bila changamoto
5. Parking ya gari 2 na kuendelea
Mawasiliano piga 0769746211
Isiwe na dalali
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website...
Habari,
Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka.
Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
Wadau poleni na majukumu.
Tangu juzi mfumo wa kujaza online self form kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2021 ulipofunguliwa nimejaribu kumjazia kijana wangu ila kuna changamoto naikuta, mara baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote nikishafika kile cha mwisho cha C5 Others sioni kile...
Habari Jamii forums,
Natumaini kila mtu anaendelea vizuri , Nimekuwa shortlisted position ni Credit Officer II , Self Microfinance Fund. Naomba msaada wa mwongozo wa written itakuwaje kwa ambao washiwahi kufanya written yao au similar to hii.
Pia kwenye Ajira portal wameandika kutakuwa na...
Habari
Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro.
Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo
Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara.
Budget ni 100k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.