Habari Jamii forums,
Natumaini kila mtu anaendelea vizuri , Nimekuwa shortlisted position ni Credit Officer II , Self Microfinance Fund. Naomba msaada wa mwongozo wa written itakuwaje kwa ambao washiwahi kufanya written yao au similar to hii.
Pia kwenye Ajira portal wameandika kutakuwa na...