The Fèsta de ƚa Sènsa was a feast of the Republic of Venice held on the occasion of the feast of the Ascension (in the Venetian language, Sensa) and still celebrated as a recreation today. It commemorated two significant dates in the Republic's history; the first being May 9, 1000, when the Doge Pietro II Orseolo rescued the denizens of Dalmatia imperiled by the Slavs. The aforementioned date marked the onset of Venetian extension in the Adriatic.
The second event commemorated took place in 1177 when the Doge Sebastiano Ziani, Pope Alexander III and the Holy Roman Emperor, Frederick Barbarossa agreed to the Treaty of Venice which ended the long-standing differences between the Pontificate and the Holy Roman Empire.
On the occasion of this festival was held the ceremony of the Marriage of the Sea (It. Sposalizio del Mare). This ceremony is recreated annually with the Mayor of Venice taking on the traditional role which was historically executed by the Doge.
Sensa ya 2022 imeendeshwa na watu mbalimbali. Kwa ngazi za chini kulikuwa na makarani, watu wa maudhui na watu wa TEHAMA. Kumetolewa vyeti vya pongezi lakini ajabu ni kwamba vyeti hivyo ni kwa makarani wa sensa pekee
Ni kwa nini serikali imefanya hivyo?
Wakuu leo katika pitapita za hapa na pale mtandaoni nimekutana na hii kauli ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara, Benson Kigaila kuwa idadi ya watanzania ni milioni 64 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara
Je uhalisia wa hili ni upi wakuu?
Salaam, Shalom!!
Takwimu za sensa iliyofanyika mwaka 2022 inasema Tanzania yetu wanaume na wanawake idadi Yao ni sawa Kwa asilimia, ingawa katika namba, inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume Kwa 46,000.
Takwimu za mwaka 2022 zinasema jumla kuu ya population ni 67,760,837.
Wanaume-...
Asilimia 82.5 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi wanamiliki simu ya mkononi. Tanzania Zanzibar ina wamiliki wengi zaidi (asilimia 88.8) kuliko Tanzania Bara (asilimia 82.3). Sensa2022.
PIA SOMA
- Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120
Sensa 2022: Ndoa Zimeongezeka Kiduchu, Talaka, Kutengana Juu
💍Wanandoa- 51.4%
💃Hawajawahi kuoa au kuolewa- 32.9%
🛖Wanaishi Pamoja - 5.5%
😢Wajane na Wagane- 4.7%
💔Waliotalakiana- 3.7%
❤️🩹Waliotengana- 1.8%
Taarifa za sensa za mwaka 2022 zinaonesha ndoa zimeongezeka kutoka asilimia 51.1 ya...
Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022.
Je, unahisi ni sahaihi kwa utafiti huu kwa mjibu wa “SENSA”?
Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini.
Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu...
Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi.
Badala Kutumia Mamilioni kama sio mabilioni, eti kisa Sherehe ya kutangaza Matokeo ya Sensa,Ni ubadhirifu mkubwa kwa pesa za...
Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion.
Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m
18,000,000/miaka 10 = 1,800,000
Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitangaza Matokeo ya Sensa na Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 31 Oktoba, 2022
Samia Suhuhu Hassan - Rais
Nataka niitangazie dunia kuwa Sensa ya watu na makazi ya 2022 imefuata vigezo...
Wahenga walishasema kuishi kwingi kuona mengi .Mabadiliko ya kweli yanaanza na mabadiliko ya fikra. Uthubutu umeleta mabadiliko Kwa Mara ya kwanza sensa imefanyika kidigitali, jambo zuri kwenye mabadiliko.
Serikali imethubutu japo Maandalizi hayakutosheleza kufanikisha zoezi hili,nimefarijika...
Kulingana na bajeti ilivyopangwa, ni kwamba kila kishkwambi kilipaswa kiambatane na powerbank yake. Lakini makarani wengi waliopo mitaani hasa maeneo ya mijini hawana hizo powerbank.
Kila wakifika kwenye kaya inabidi waombe kufanya kazi yao wakiwa wamechomeka vishkwambi kwenye umeme.
Kumbuka...
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
Salaam wanajukwaa na watanzania wote.
Kwanza, nimshukuru Mungu muumba kwa uzima na afya tele NAMI nimeiona siku ya leo.
Pili, Nimshukuru Rais wetu Mpendwa Mama msikivu, mnyenyekevu, mpole, mchapakazi, na mwenye mapenzi mema na nchi yetu, Mama SAMIA kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa weledi...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022.
Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa?
Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7
Binafsi kwenye hii karne ya Sayansi na Teknolojia, nadhani hili zoezi lingeweza kufanyika kwa urahisi na...
Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa?
Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.