sensa 2022

  1. Jembe Jembe

    Arusha: Taasisi ya Kiislamu ya Twarika yajitosa suala la Sensa

    Taasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika Mkoa wa Arusha imeandaa semina kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakazi wa jiji la Arusha juu ya kushiriki sensa ya makazi na watu inayotarajiwa kufanyika mapema mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari jijini hapa, Katibu mkuu wa Twarika Mkoa wa Arusha...
  2. Aliko Musa

    Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
  3. ItsMi

    Tunaomba Sensa isaidie kutatua changamoto na kero za muda mrefu zilizopo katika maeneo yetu

    Ninaelewa kwamba sensa ni mchakato unaofanyika katika nchi ili kuhesabu idadi ya watu na makazi kwa lengo la kupata idadi ya wananchi na makazi yao ili serikali iweze kuboresha huduma mbalimbali zenye kukidhi mahitaji na idadi ya watu. Hivyo ni ombi letu kwa serikali kwamba Sensa iweze kusaidia...
Back
Top Bottom