Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza.
Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...