Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.
CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania.
Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu.
NBS mlishindwaje kujiandaa...
Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
Na Kevin Lameck
Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
Semina zinazoendeshwa nchi mzima Kwa makarani wa sensa, zingeweza kupangwa vizuri tungeokoa pesa nyingi za umma na kuzielekeza kwenye maeneo mengine.
Mfano kulikuwa na ubaya gani kama wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa serikali za mitaa ,ambao ninauhakika wanawajua watu wao vizuri zaidi...
UTANGULIZI:
Sensa ya watu na makazi ni nini?
Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
Aweso soma hiyo, watu wanahamasisha sensa kwa maendeleo, na huku watu wananuka vikwapwa kwa sababu ni wiki mbili sasa hakuna maji na idara ya maji IPO hapahapa Ubungo.
Sensa oyeeeee......
Habari!
Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu.
Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo.
Kwa miaka...
Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu.
Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sensa nyingine kulingana na...
kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti.
Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo.
Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji...
Mkufunzi wa sensa akutwa amefariki dunia nyumba ya kulala wageni.
Taarifa: MWANANCHI Online
Kwa niwajuavyo Wakufunzi na yanayoendelea kwa hao Wanaowakufunzi ( hasa Mabinti na Wanawake ) nikiambiwa humo Chumbani alikuwa peke yake tu nitakuwa wa mwisho Kuamini.
Na kwa jinsi Siku hizi...
ALERT 🚨 🚨 🚨
Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa..
amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.
Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya...
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule...
Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.