sensa

Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    SENSA2022: 93% wahesabiwa, ambao bado wapewa mwongozo

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi. Makinda amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Sensa ya Watu na Makazi. Sensa ya Watu na Makazi ilianza...
  2. N

    Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

    Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa. Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93? Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza? Kama alikuwa anajua hiyo...
  3. JanguKamaJangu

    Dodoma: Makarani wasusia sensa wakidai kutolipwa fedha zao

    Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi...
  4. BARD AI

    Ulevi changamoto kuu ya Sensa, vishkwambi sita vyapotea

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amesema kati ya changamoto walizokutana nazo kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi katika mkoa huo ni ulevi kwa baadhi ya makarani na upotevu wa vishikwambi. Amesema vishikwambi sita vilipotea tangu kuanza kwa kazi hiyo Agosti 23 mwaka huu lakini...
  5. Lanlady

    NBS waache kutumia jina la Rais kuhamasisha sensa. Wao pia wanajitosheleza!

    Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa. Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais naona kama haijakaa sawa! Kama iko sawa toa hoja, haya si malumbano ni...
  6. Pascal Mayalla

    Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  7. Kingsmann

    Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

    Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi hilo tangu kuanza kwake mpaka hivi sasa. Amesema lengo ni kuhakikisha watu wote wanahesabiwa. Dr...
  8. U

    Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

    Habari ndugu wadau. Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9. Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu wamefanya semina wiki 3 kweli??Hakika sijaamini nilichokiona. Hii inamaana tungekuwa makini tungetumia ata...
  9. BARD AI

    Wakazi Kimara, Mbezi ‘walia’ kutohesabiwa sensa

    Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamedai kutohesabiwa hadi sasa. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kudai kukata tamaa ya kushiriki katika...
  10. Influenza

    Zoezi la sensa 2022 lafikia asilimia 54 ikiwa leo ni siku ya 4

    Zoezi la kuhesabu watu katika sensa ya watu na makazi limefikia 54% hadi leo Agosti 26, 2022.
  11. The Palm Beach

    Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  12. N

    Serikali: Bajeti ya sensa ni Tsh bilioni 629

    Kiruuuuuuuuu, mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke, hakuna aliyekuwa serious na hizi data labda baadhi ya maswali ambayo yatamsaidia mzee wa Singida Big Stars kuintroduce tozo mpya. Huu ni upigaji mkubwa, kwa mwendo wa konokono...
  13. Lanlady

    Mabadiliko ya sensa kwa mwaka huu 2022, tofauti na miaka mingine, je yana tija kwa wananchi?

    Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida? Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na: 1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo) 2: matumizi ya vishikwambi 3: mabadiliko ya siku, (sensa...
  14. M

    Matokeo ya sensa

    WanaJF, Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa. Asante sana viongozi wetu. Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda...
  15. Hismastersvoice

    Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya! Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika! Bahati mbaya...
  16. J

    Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
  17. Dr Akili

    Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

    Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
  18. Miss Zomboko

    Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa. Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022...
  19. Kijakazi

    Sensa ni Social Experiment ni ID2020 Agenda ya Bill Gates &Co.!

    https://en.m.wikipedia.org/wiki/ID2020
  20. M

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Back
Top Bottom