Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.
Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu.
Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.
Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni...
Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu.
Serikali hii hii ya tozo?
Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu?
Serikali hii hii ya walamba asali?
Beberu anasema - "too good to be true."...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022.
Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.
Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani...
Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko?
Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi
Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana.
1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama...
Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo?
Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa?
Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa?
Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7
Binafsi kwenye hii karne ya Sayansi na Teknolojia, nadhani hili zoezi lingeweza kufanyika kwa urahisi na...
Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi?
Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa?
Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
Wakuu.
Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii.
Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa?
Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
Wakuu imekaaje hii ya makarani wa sensa kuchukuliwa clip ya maigizo wakati wa kuhesabu.
Yaani karani anaenda kwa mtu maarufu then akimaliza kazi yake wanaanza kuchukua video ya kuchekesha, huo sio upotevu wa muda kweli?
Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa kwa umakini mkubwa tena kwa muda mrefu hivyo kutoa nafasi ya kufanya majaribio mbalimbali na kutatua changamoto na hata kuweka utaratibu mzuri wa kuliendesha...
Mpaka sasa sijahesabiwa ila kwa maswali haya sitaki kumwona karani nyumbani kwangu
1. Unalipa kodi au umepanga,kama ni kodi unalipa sh ngap? Swala la kodi linamuusu nini?
2. Mmachinga au mlipa kodi? Dah!!!
Ndoa yenu ina amani au mgogoro?
Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.
Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.
Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa...
Makarani wawili wamejikuta katika wakati mgumu baada kuporwa vifaa vyao vya kukusanyia taarifa maarufu kama vishikwambi na vibaka.
Tukio la kwanza limetokea jijini Arusha ambapo karani aliyetambuliwa kwa jina la Saraphia Kiwango ameporwa kishikwambi chake alipokuwa akielekea kuanza kuhesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.