sensa

Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  2. Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu. Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni...
  3. B

    Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu?

    Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu. Serikali hii hii ya tozo? Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu? Serikali hii hii ya walamba asali? Beberu anasema - "too good to be true."...
  4. Sensa 2022: 17% ya kaya zimehesabiwa kwa siku moja

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022. Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
  5. K

    Nina wasiwasi na haya mawasiliano ya wife na karani mwenzie wa sensa

    Za saizi waheshimiwa Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa. Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani...
  6. M

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
  7. Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha: Usimpige Picha wala kumchukua Video karani wa Sensa bila ridhaa yake

    Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
  8. Hii ndio sensa ya kisasa na yenye tija kuliko zote tangu uhuru

    Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana. 1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
  9. Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

    Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa. Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama...
  10. Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  11. Sensa 2022 - Could it be Done Better?

    Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa? Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7 Binafsi kwenye hii karne ya Sayansi na Teknolojia, nadhani hili zoezi lingeweza kufanyika kwa urahisi na...
  12. M

    Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

    Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi? Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa? Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
  13. Makarani wa sensa tuwaamini bila uwepo wa sheria yoyote nchini inayolinda taarifa binafsi na faragha zetu?

    Wakuu. Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii. Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
  14. Maoni yangu kuhusu Sensa 2022

    Wadau, hivi Serikali haikuona umuhimu wa kuunganisha masuala ya postal code na mifumo hii ya sensa? Kama tayari anuani za makazi zipo kwenye system, huyu karani anayekuja kwenye makazi yetu alitakiwa kwanza akifika aingize ile anuani anayoikuta (kwenye milango yetu) au vibao vile walivyoweka...
  15. Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

    Wakuu imekaaje hii ya makarani wa sensa kuchukuliwa clip ya maigizo wakati wa kuhesabu. Yaani karani anaenda kwa mtu maarufu then akimaliza kazi yake wanaanza kuchukua video ya kuchekesha, huo sio upotevu wa muda kweli?
  16. Sensa 2022: Zoezi linavyoendelea na yanayojiri

    Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa kwa umakini mkubwa tena kwa muda mrefu hivyo kutoa nafasi ya kufanya majaribio mbalimbali na kutatua changamoto na hata kuweka utaratibu mzuri wa kuliendesha...
  17. Kwa maswali haya sina imani na sensa tena

    Mpaka sasa sijahesabiwa ila kwa maswali haya sitaki kumwona karani nyumbani kwangu 1. Unalipa kodi au umepanga,kama ni kodi unalipa sh ngap? Swala la kodi linamuusu nini? 2. Mmachinga au mlipa kodi? Dah!!! Ndoa yenu ina amani au mgogoro?
  18. M

    Manispaa ya Mwanza kuna watu hawajui Kiswahili washindwa kuelewana na makarani wa sensa

    Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili. Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi. Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
  19. Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

    Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo. Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo. Baada ya tukio hilo la kujinyonga, vifaa...
  20. Makarani wa Sensa Arusha, Katavi waporwa vishikwambi

    Makarani wawili wamejikuta katika wakati mgumu baada kuporwa vifaa vyao vya kukusanyia taarifa maarufu kama vishikwambi na vibaka. Tukio la kwanza limetokea jijini Arusha ambapo karani aliyetambuliwa kwa jina la Saraphia Kiwango ameporwa kishikwambi chake alipokuwa akielekea kuanza kuhesabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…