Matumizi ya teknolojia kwenye sensa hii yameanza kuonekana. Yapo baadhi ya mambo tukiboresha itasaidia zaidi.
Mfano. Kuwe na online forms ambazo wananchi wata download na kujaza taarifa zao kisha kuziwasilisha huko ofisi ya Takwimu.
Baada ya hapo, wanapata ID ambapo watu wa sensa wakipita...